Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Aleksanda VIII.
Papa Alexander VIII (22 Aprili 1610 – 1 Februari 1691) alikuwa Papa kuanzia tarehe 6/16 Oktoba 1689 hadi kifo chake[1]. Alitokea Venezia, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pietro Vito Ottoboni.
Alimfuata Papa Inosenti XI akafuatwa na Papa Inosenti XII.
Page Module:Navbar/styles.css has no content. |
---|
|
karne ya 1 hadi ya 4 | | |
---|
karne ya 5 hadi ya 8 | |
---|
karne ya 9 hadi ya 12 | |
---|
karne ya 13 hadi ya 16 | |
---|
karne ya 17 hadi ya 20 | |
---|
karne ya 21 | |
---|
|
|
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Alexander VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|