Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Adriano IV.
Papa Adrian IV, Can.Reg. (takriban 1100 – 1 Septemba 1159) alikuwa Papa kuanzia tarehe 4/5 Desemba 1154 hadi kifo chake[1]. Alitokea Hertfordshire, Uingereza[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Nicholas Breakspear. Ni Mwingereza pekee aliyepata kuwa Papa.
Alimfuata Papa Anastasio IV akafuatwa na Papa Alexander III.
Page Module:Navbar/styles.css has no content. |
---|
|
karne ya 1 hadi ya 4 | | |
---|
karne ya 5 hadi ya 8 | |
---|
karne ya 9 hadi ya 12 | |
---|
karne ya 13 hadi ya 16 | |
---|
karne ya 17 hadi ya 20 | |
---|
karne ya 21 | |
---|
|
|
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Adrian IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|