Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Yohane XXI (1215 – 20 Mei 1277) alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Septemba 1276 hadi kifo chake[1]. Alitokea Lisbon, Ureno[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pedro Julião au Pedro Hispano.
Alimfuata Papa Adriano V akafuatwa na Papa Nikolasi III.
- Maxwell-Stuart, P. G. Chronicle of the Popes: The Reign-by-Reign Record of the Papacy from St. Peter to the Present, Thames & Hudson, 2002, p. 119. ISBN 0-500-01798-0.
Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.
|
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XXI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|