BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Moja kwa moja, Israel yawashambulia waasi wa Houthi nchini Yemen baada ya ndege isiyo na rubani kupiga Tel Aviv
Israel imefanya mashambulizi ya anga kwenye bandari ya Hodeidah inayodhibitiwa na Wahouthi nchini Yemen, siku moja baada ya ndege isiyo na rubani iliyorushwa na kundi hilo kupiga Tel Aviv.
Utafutaji wa namba za bahati nasibu zinazoendesha maisha yetu
Je, unajua jinsi namba za bahati nasibu zinavyopatikna?
Kukimbia na ulemavu wa macho kumebadili maisha yangu baada ya kukanyaga bomu Afghanistan
Kukimbia na ulemavu wa macho kumebadili maisha yangu
Tetesi za soka Ulaya Jumapili 21.07.2024
Manchester United wako tayari kumuuza kiungo wa kati wa Uingereza Mason Mount, 25, msimu huu wa joto.
Mafanikio manne katika matibabu ya saratani yanayowaongezea wagonjwa maisha
Katikati ya uvumbuzi mwingi wa kiteknolojia na uzinduzi wa dawa, inashangaza kwamba mkutano wa kisayansi unaoongoza ulimwenguni kuhusu saratani umeonyesha dawa zinazojulikana ambazo zimeuzwa katika miaka ya hivi karibuni.
Afya: Magonjwa hatari ambayo wanasayansi hawajayapatia tiba kamili na namna yanavyotibiwa
Kuna magonjwa mengi ambayo wanasayansi na madaktari duniani wanaweza kuyatibu kwa urahisi kutokana na kwamba yamefanyiwa utafiti na tiba yake imepatikana. Hata hivyo kuna baadhi ya magonjwa ambayo bado yameshindwa tafiti nyingi za kisayansi zimeshindwa kuyaelewa, na kuyapatia tiba kamili.
Wapiganaji wanaoondoka katika vita Syria na kuwa mamluki Afrika
"Kupata kazi imekuwa ngumu sana"
Mahakama kuu ya Umoja wa Mataifa yasema uvamizi wa Israel katika maeneo ya Wapalestina ni kinyume cha sheria
Mahakama hiyo ya Kimataifa ya Haki (ICJ) imesema Israel inapaswa kusimamisha shughuli za makazi katika Ukingo wa Magharibi na Jerusalem Mashariki inayokaliwa na kukomesha uvamizi wake "haramu" wa maeneo hayo na Ukanda wa Gaza haraka iwezekanavyo.
Je mawaziri 11 walioteuliwa na Rais Ruto ni akina nani?
Rais William Ruto ametangaza mawaziri kumi na moja kati ya 22 katika baraza lake la mawaziri.
Yajue mashindano makubwa matano ya soka duniani
Mashindano makubwa matano ya soka duniani
Hatari kubwa za kiafya zinazotokana na kuweka kope bandia
Kope zetu za asili hufanya kazi muhim, hulinda macho yetu kwa kuelekeza hewa mbali na mboni ya jicho, na kutufanya kupepesa, hatua ambayo pia huhakikisha kwamba macho yana majimaji vizuri.
Michezo
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani
Sikiza / Tazama
Gumzo mitandaoni
Kwa nini Ruto hakuwa na chaguo bali kulivunja baraza la mawaziri?
Rais wa Kenya William Ruto siku ya Alhamisi alivunja baraza lake la mawaziri na kuwafuta kazi mawaziri wake wote huku akiahidi kuunda serikali mpya ambayo itakuwa na gharama za chini na yenye ufanisi.
'Nilihusika na siasa za Burundi kwa siri nikiwa Tanzania'
Mimi nilikuwa na hofu ya kwenda jeshini, mama yangu na baba yangu pia
Rais wa Rwanda avunja rekodi yake mwenyewe ya uchaguzi
Paul Kagame ameshinda kwa zaidi ya 99% ya kura, kuonyesha Rwanda haina demokrasia, wakosoaji wake wanasema.
'Walimuua mtoto wangu'
Ahadi ya serikali ya kukabiliana na ujenzi mbaya wa nyumba haionekani kuwasaidia wazazi walio na huzuni.
Biden akutwa na virusi vya Covid - Ikulu
Karine Jean-Pierre, mkuu wake wa vyombo vya habari, alisema rais wa Marekani alipewa chanjo pamoja na ile ya nyongeza.
Waridi wa BBC: Waridi wa BBC: Jinsi umasikini unavyozima ndoto za wasichana wa Tanzania
Safari yangu kama msichana wa kitanzania ninafahamu umasikini unavyozima ndoto za wasichana.'
Thomas Matthew Crooks: Tunachokijua kuhusu mshambuliaji wa Trump
Mshambuliaji wa Trump ni nani?
Kenya inaweza kujifunza nini kwa mfumo wa uongozi wa Rwanda?
Nchini Rwanda sasa umekuwa ni utamaduni wa kawaida kwa Rais kuwatembelea wananchi katika wilaya zao na kufanya mikutano ya ana kwa ana na wananchi ili kuwasikiliza na kuwashirikisha katika juhudi za kuboresha huduma za kiserikali zinazotolewa kwao.
Gen Z ni kizazi gani?
Kizazi cha Gen Z kina nia iliyo wazi zaidi kuliko vizazi vilivyotangulia na ifahamike kuwa mitindo na mawasiliano yao yanashirikishwa kote ulimwenguni.
Jaribio la kumuua Trump lilivyomsafishia njia kuingia White House
Ni kama vile uchaguzi wa urais nchini Marekani umeamuliwa tayari, ngekewa ikimuangukia Trump
Tuyajenge
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 22 Julai 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 19 Julai 2024, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 19 Julai 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 19 Julai 2024, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki