Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mkoa wa Szabolcs-Szatmár-Bereg
Szabolcs-Szatmár-Bereg ni moja ya wilaya 19 ya kujitawala ya Hungaria. Idadi ya wakazi wake ni takriban 572,423. Mji wake mkuu ni Nyíregyháza.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Hungaria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Szabolcs-Szatmár-Bereg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|