Temporary Disabled. :) please Go back Mto Tiber - Wikipedia, kamusi elezo huru www.fgks.org » Address: [go: up one dir, main page] Include Form Remove Scripts Accept Cookies Show Images Show Referer Rotate13 Base64 Strip Meta Strip Title Session Cookies Nenda kwa yaliyomo Menyu kuu Menyu kuu hamishia kwenye mwambaa upande ficha Urambazaji MwanzoJumuiyaMatukio ya hivi karibuniMabadiliko ya karibuniUkurasa wa bahatiMsaadaMichango Tafuta Tafuta Mandhari Unda akaunti Ingia Zana binafsi Unda akaunti Ingia Pages for logged out editors learn more MichangoMajadiliano Mto Tiber Lugha 97 AfrikaansአማርኛAragonésالعربيةمصرىAsturianuAzərbaycancaتۆرکجهБеларускаяБеларуская (тарашкевіца)Българскиবাংলাབོད་ཡིགBrezhonegCatalàCebuanoCorsuČeštinaKaszëbscziЧӑвашлаCymraegDanskDeutschΕλληνικάEnglishEsperantoEspañolEestiEuskaraفارسیSuomiFrançaisArpetanNordfriiskFurlanFryskGaeilgeGalegoעבריתHrvatskiMagyarՀայերենBahasa IndonesiaIdoÍslenskaItaliano日本語ქართულიҚазақша한국어КыргызчаLatinaLëtzebuergeschLigureLadinLombardLietuviųLatviešuМакедонскиमराठीBahasa MelayuMirandésမြန်မာဘာသာNapulitanoNederlandsNorsk nynorskNorsk bokmålOccitanਪੰਜਾਬੀPolskiپنجابیPortuguêsRomânăРусскийSicilianuSrpskohrvatski / српскохрватскиSimple EnglishSlovenčinaSlovenščinaСрпски / srpskiSvenskaதமிழ்ไทยTagalogTürkçeУкраїнськаاردوOʻzbekcha / ўзбекчаVènetoTiếng ViệtWest-VlamsWinaray吴语მარგალურიייִדיש中文粵語 Hariri viungo MakalaMajadiliano Kiswahili SomaHaririHariri chanzoFungua historia Zana Zana hamishia kwenye mwambaa upande ficha Vitendo SomaHaririHariri chanzoFungua historia Kijumla Viungo viungavyo ukurasa huuMabadiliko husikaPakia failiKurasa maalumuKiungo cha daimaMaelezo ya ukurasaTaja ukurasa huuPata URL iliyofupishwaPakua msimbo wa QRWikidata kifungu Chapa/peleka nje Tunga kitabuPakua kama PDFUkurasa wa kuchapika Miradi mingine Wikimedia Commons Mandhari hamishia kwenye mwambaa upande ficha Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru Njia ya Mto Tiber katika ramani ya Italia ya Kati. Mto Tiber ndani ya mji wa Roma, kwenye "Daraja la Mt. Malaika" (Ponte St Angelo); kuba kubwa nyuma ni la Basilika la Mt. Petro). Alama ya mafuriko ya Roma, 1598, iliyowekwa kwenye nguzo ya Hospitali ya Santo Spirito karibu na Basilika la San Pietro. Tiber (kwa Kiitalia: Tevere, kutoka Kilatini Tiberis) ni mto nchini Italia. Chanzo chake kipo kwenye milima ya Apenini karibu na mlima Monte Fumaiolo katika mkoa wa Emilia-Romagna, halafu mto unapita kilomita 405 katika mikoa ya Toscana, Umbria na Lazio ikipita katika mji wa Roma hadi kufikia mdomo wake kwenye Bahari ya Mediteranea karibu na bandari ya kale ya Ostia Antica. Mto ulikuwa muhimu katika historia ya mji wa Roma maana mji huo ulianzisha sehemu ambako iliwezekana kuvuka mto Tiber kwa miguu. Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Tiber kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Jamii: Mbegu za jiografia ya ItaliaMito ya ItaliaRomaLazioUmbriaToscana
Tiber (kwa Kiitalia: Tevere, kutoka Kilatini Tiberis) ni mto nchini Italia.
Chanzo chake kipo kwenye milima ya Apenini karibu na mlima Monte Fumaiolo katika mkoa wa Emilia-Romagna, halafu mto unapita kilomita 405 katika mikoa ya Toscana, Umbria na Lazio ikipita katika mji wa Roma hadi kufikia mdomo wake kwenye Bahari ya Mediteranea karibu na bandari ya kale ya Ostia Antica.
Mto ulikuwa muhimu katika historia ya mji wa Roma maana mji huo ulianzisha sehemu ambako iliwezekana kuvuka mto Tiber kwa miguu.