Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa maeneo yaliyomo ndani ya mkoa wa Marche
Mahali pa Marche katika Italia.
Marche ni mkoa wa Italia ya kati upande wa mashariki.
Una wilaya tano.
Mji mkuu wake ni Ancona.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Marche kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|