Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tarehe 15 Machi ni siku ya 74 ya mwaka (ya 75 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 291.
- 1713 - Nicolas-Louis de Lacaille, mwanaastronomia kutoka Ufaransa
- 1760 - Mtakatifu Yohane wa Triora, padre Mfransisko, mmisionari na mfiadini nchini Uchina
- 1767 - Andrew Jackson, Rais wa Marekani 1829-1837
- 1830 - Paul Heyse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1910
- 1831 - Mtakatifu Daniele Comboni, mmisionari na askofu Mkatoliki nchini Sudan
- 1854 - Emil von Behring, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1901
- 1871 - Charles Howard McIlwain, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1920 - Donnall Thomas, daktari kutoka Marekani, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1990
- 1930 - Martin Karplus, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 2013
- 1946 - Hezekiah Ndahani Chibulunje, mwanasiasa wa Tanzania
- 1952 - Willy Puchner, msanii kutoka Austria
- 1975 - Eva Longoria, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Menigni, Papa Zakaria, Leokrisya, Sisebuto, Luisa wa Marillac, Klemens Maria Hofbauer, Artemis Zatti n.k.
WikiMedia Commons
|
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 15 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
|