www.fgks.org   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Elimu kwa watoto wa kike

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 12:31, 2 Aprili 2017 na Steven john mbalasa (majadiliano | michango) (elimu kwa watoto wa kike)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Elimu ni kitu muhimu kwa maisha ya sasa kwa kila mtu awe mke au mume inampasa kupata elimu iliweze kumsaidia maishani lakini duniani siku hizi watoto wa kikewanakosa au wananjimwa haki ya kupata elimu tatizo hili ni kubwa katika bara la afrika na asia watoto wakike wanakosa elimu kutokana na mila potofu za mataifa hayo si hivyo tu wanakosa elimu ila wanalazimishwa kuolewa wakiwa wadogona hawa wezi kulea familia ndomana hali ya maisha katika mabara haya si nzuri tuachane na mila hizi tuige mifano ambayo ni mizuri kutoka katika nchi za wenzetu tukifanya hivi tutafanikiwa kwa kiasi kikubwa elimu kwa watoto wakike ni haki yao