www.fgks.org   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Chris Evans : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1: Mstari 1:
{{Mwigizaji 2
[[Picha:Chris Evans by Gage Skidmore.jpg|thumb|Chris Evans.]]
| jina = Chris Evans
| picha = Chris Evans by Gage Skidmore.jpg
| maelezo ya picha = Chris Evans
| jina la kuzaliwa =
| tarehe ya kuzaliwa = [[13 Juni]] [[1981]])
| mahala pa kuzaliwa =
| tarehe ya kufa =
| mahala alipofia =
| jina lingine =
| kazi yake = [[muigizaji]] wa [[Marekani]] anayejulikana sana kwa jina la "[[Captain America]]" kama shujaa katika [[filamu]] zake.
| miaka ya kazi =
| ndoa =
| watoto =
| mahusiano ya kimapenzi =
| tovuti =
}}
'''Christopher Evans''' (alizaliwa [[Boston]], [[13 Juni]] [[1981]]) ni [[muigizaji]] wa [[Marekani]] anayejulikana sana kwa jina la "[[Captain America]]" kama shujaa katika [[filamu]] zake.
'''Christopher Evans''' (alizaliwa [[Boston]], [[13 Juni]] [[1981]]) ni [[muigizaji]] wa [[Marekani]] anayejulikana sana kwa jina la "[[Captain America]]" kama shujaa katika [[filamu]] zake.



Toleo la sasa la 10:46, 9 Novemba 2023

Chris Evans

Chris Evans
Amezaliwa 13 Juni 1981)
Kazi yake muigizaji wa Marekani anayejulikana sana kwa jina la "Captain America" kama shujaa katika filamu zake.

Christopher Evans (alizaliwa Boston, 13 Juni 1981) ni muigizaji wa Marekani anayejulikana sana kwa jina la "Captain America" kama shujaa katika filamu zake.

Ni muigizaji ambaye anafanya kazi zake chini ya kampuni kubwa ya filamu duniani iitwayo "Marvel".

Alianza kazi zake za uigizaji mnamo mwaka 2000 ambapo aliigiza filamu iliyoitwa Opposite sex.

Mbali na filamu za kishujaa pia ameigiza filamu mbalimbali kama vile Gifted (2017), Sun shine (2007), Scott Pilgrim vs. the World (2010), Snowpiercer (2013) na nyingine nyingi.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chris Evans kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.