www.fgks.org   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Chris Evans : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|huyu ni Chris Evans '''Christopher Evans''' alizaliwa Juni 13, 1981 huko Boston.Ni muigizaji w...'
 
d Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Chris evans hadi Chris Evans: usahihi wa jina
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:05, 20 Mei 2018

huyu ni Chris Evans

Christopher Evans alizaliwa Juni 13, 1981 huko Boston.Ni muigizaji wa kimarekani anaye julikana sana kwa jina la "Captain America" kama shujaa katika filamu zake.Ni muigizaji ambae anafanya kazi zake chini ya kampuni kubwa ya filamu duniani iitwayo "Marvel". Alianza kazi zake za uigizaji mnamo mwaka 2000 ambapo aliigiza filamu iliyoitwa Opposite sex.Mbali na filamu za kishujaa pia ameigiza filamu mbalimbali kama vile Gifted (2017),Sun shine (2007), Scott Pilgrim vs. the World (2010), Snowpiercer (2013) na nyingine nyingi.