www.fgks.org   »   [go: up one dir, main page]

Nenda kwa yaliyomo

Msamiati : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Historia ya Elton
Tags: Reverted KihaririOneshi Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
d Masahihisho aliyefanya ELTON EZIRA (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
 
Mstari 1: Mstari 1:
'''Msamiati''' ni orodha ya [[maneno]] yote ambayo [[Binadamu|watu]] wanajua na wanayatumia, yakiwemo yale magumu
[[Elton Ezira]] mwanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sayansi katika Mitandao ya Kompyuta na Uhandisi wa Usalama wa Habari katika chuo kikuu Cha Dodoma.


Watu wazima ambao huenda [[chuo kikuu]] wanaweza kujua maneno [[20,000]].
[[Elton Ezira]] alisoma diploma yake katika Teknolojia ya Habari katika chuo kikuu Mzumbe.

Msamiati wa kusikia na msamiati wa kusoma ni mikubwa kuliko msamiati wa kuzungumza au msamiati wa kuandika, kama watu wanavyoelewa maneno ambayo hawayatumii.

[[Idadi]] ya maneno katika [[lugha]] ni zaidi ya maneno yaliyotajwa katika [[kamusi]] [[moja]]. Kamusi moja inaweza kuwa na orodha ya maneno 500,000 ([[nusu]] [[milioni]]).

Kamusi nyingine inaweza kuwa na maneno mengine ambayo kamusi nyingine haina. Unapoongeza maneno yote katika kamusi hizo, kunakuwa na maneno 750,000 ya [[Kiingereza]]. Pia kunaweza kukawa na maneno zaidi ya hayo.

Unaweza kufikiri mwenyewe, "''Ikiwa kuna maneno 750,000, tunawezaje kuzungumza na maneno 3000 tu?''". Ni kwa sababu, hatuhitaji kujua maneno yote. Unaweza kusema [[Kitu|vitu]] vingi kwa maneno karibu 3,000.

Maneno yaliyotumiwa zaidi ni maneno mafupi. Hiyo ni kweli katika lugha zote.

Msamiati wa lugha hubadilika. Maneno mapya yanazalishwa au maneno yanabadilika [[maana]] yake. Maneno kuhusu [[kompyuta]], kama "download" ni mapya kwa lugha ya [[Kiingereza]]. [[Neno]] jipya la "bling" linatoka katika [[muziki]]. Maneno kama "baridi" yametengeneza maana mpya.

Vilevile msamiati tunaweza kusema ni maneno magumu ambayo mtu hayaelewi katika kifungu cha habari fulani. Mfano neno [[tabasamu]]: ukimuuliza [[mtu]] maana ya [[neno]] hilo utapata majibu tofauti.

Ukimtaka mtu atunge [[sentensi]] kulingana na neno tajwa unaweza kupata sentensi za aina hii:
* (i) [[Mwalimu]] wetu anapenda kutabasamu.
* (ii) [[Baba]] alinunua [[gazeti]] la Tabasamu.

Hapa tunaona kuwa neno hili limeelezewa na kila mtu kwa jinsi alivyolizoea katika [[Matumizi ya lugha ya Kiswahili|matumizi]], hivyo kwa hapa [[Maana ya msamiati|maana]] halisi ya neno tutaipata kutokana na lilivyotumika katika sentensi husika.


==Tazama pia==
==Tazama pia==

Toleo la sasa la 12:15, 29 Juni 2023

Msamiati ni orodha ya maneno yote ambayo watu wanajua na wanayatumia, yakiwemo yale magumu

Watu wazima ambao huenda chuo kikuu wanaweza kujua maneno 20,000.

Msamiati wa kusikia na msamiati wa kusoma ni mikubwa kuliko msamiati wa kuzungumza au msamiati wa kuandika, kama watu wanavyoelewa maneno ambayo hawayatumii.

Idadi ya maneno katika lugha ni zaidi ya maneno yaliyotajwa katika kamusi moja. Kamusi moja inaweza kuwa na orodha ya maneno 500,000 (nusu milioni).

Kamusi nyingine inaweza kuwa na maneno mengine ambayo kamusi nyingine haina. Unapoongeza maneno yote katika kamusi hizo, kunakuwa na maneno 750,000 ya Kiingereza. Pia kunaweza kukawa na maneno zaidi ya hayo.

Unaweza kufikiri mwenyewe, "Ikiwa kuna maneno 750,000, tunawezaje kuzungumza na maneno 3000 tu?". Ni kwa sababu, hatuhitaji kujua maneno yote. Unaweza kusema vitu vingi kwa maneno karibu 3,000.

Maneno yaliyotumiwa zaidi ni maneno mafupi. Hiyo ni kweli katika lugha zote.

Msamiati wa lugha hubadilika. Maneno mapya yanazalishwa au maneno yanabadilika maana yake. Maneno kuhusu kompyuta, kama "download" ni mapya kwa lugha ya Kiingereza. Neno jipya la "bling" linatoka katika muziki. Maneno kama "baridi" yametengeneza maana mpya.

Vilevile msamiati tunaweza kusema ni maneno magumu ambayo mtu hayaelewi katika kifungu cha habari fulani. Mfano neno tabasamu: ukimuuliza mtu maana ya neno hilo utapata majibu tofauti.

Ukimtaka mtu atunge sentensi kulingana na neno tajwa unaweza kupata sentensi za aina hii:

Hapa tunaona kuwa neno hili limeelezewa na kila mtu kwa jinsi alivyolizoea katika matumizi, hivyo kwa hapa maana halisi ya neno tutaipata kutokana na lilivyotumika katika sentensi husika.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Msamiati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.