Zaidi ya watu wengine 150 bado hawajulikani walipo wakati waokoaji wakiendelea na zoezi la kuwatafuta kwenye vifusi vya jengo la Champlain Towers.
Kila mwaka kawaida kuna matukio yanayo chukua sura mpya, Lakini kwa miezi 12 iliyopita kumekuwa na matukio mengi yaliyo badilisha ulimwengu na kuwepo mitizamo tofauti, na hivyo ni vigumu kuamini kuwa hatuko katika utaratibu ambao unaendesha kila kitu kwa wakati mmoja. Lakini hakuna wakati wa kuchoka
Shughuli za uokoaji baada ya jengo la ghorofa kuporomoka hapa Marekani zaingia siku ya tano huku darzeni za watu wakihofiwa kufariki.
Mkuu wa kijeshi wa Kivu kaskazini amewaamrisha wakazi wa Goma mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuondoka mara moja.
Kila mwaka, familia nchini Marekani zinawaleta majumbani maelfu ya watoto wanaotoka ndani na nje ya nchi kuwalea. Kumleta nyumbani mtoto mgeni inahitaji kumjengea mazoea. Kumleta nyumbani mtoto wa rangi tofauti inaleta changamoto nyingine katika malezi hayo.